MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Dkt John Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiingia Bungeni hii leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiingia Bungeni hii leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Dkt John Magufuli, kushoto ni Spika wa Bunge la JMT Job Ndugai leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zuberi Ali Maulid, Bungeni hii leo Juni 16, 2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakingia ndani ya ukumbi Bungeni hii leo Juni 16, 2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MWENDO KASI LEOTakwimu za Sasa za Utekelezaji wa Mradi wa Mwendo Kasi kwa Mwaka 2024

Mradi wa Mwendo Kasi (BRT) nchini Tanzania unaendelea kupiga hatua kubwa katika utekelezaji wake mwaka …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *