OFISI YA MAKAMU WA RAIS KWA KUSHIRIKIANA NA UNIDO WAANDAA WARSHA YA MAFUNZO
Matokeo ya kuharibika kwa Tabaka la Ozoni ni kuruhusu mionzi zaidi ya urujuani (UV-B) kufikia uso wa ardhi hivyo kutishia afya ya viumbe hai katika ikolojia mbalimbali. Tafiti zimethibitisha kuwa kumong’onyoka kwa tabaka la ozoni kumetokana na kurundikana angani kwa kemikali/gesi zinazotumika kwenye mafriji, viyoyozi na mitambo ya kupoozea joto. …
Soma zaidi »NENDENI MKACHAPE KAZI KWA UADILIFU NA KUTANGULIZA MASLAHI YA TANZANIA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27 Januari, 2020 amewaapisha Mawaziri 2 na Mabalozi 3 aliowateua hivi Karibuni. Mawaziri walioapishwa ni George Boniface Mwataguluvala Simbachawene aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mussa Azzan Zungu aliyeapishwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na …
Soma zaidi »MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA KUENDESHA KWA PAMOJA UCHIMBAJI WA MADINI KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA BARRICK
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA MADINI YA BARRICK
LIVE:KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM ,VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA
MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE UNGUJA
SIMBACHAWENE APONGEZA JUHUDI ZA UTUNZAJI MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene amepongeza juhudi za utunzaji wa mazingira zinazofanywa na wadau mbalimbali hapa nchini. Simbachawene ametoa pongezi hizo kwa wadau Katibu Mtendaji wa asasi ya Foundation for ASM Development (FADev) Bibi Theonestina Mwasha na Emmanuel Chisna waliofika ofisini kwake …
Soma zaidi »