MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE UNGUJA

1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya Shamra shamra za kuelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa Januari 12,2020.
5-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Watendaji wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja  Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya Shamra shamra za kuelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa Januari 12,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali hiyo Dkt. Tamim Hamad Said mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi huo  Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya Shamra shamra za kuelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa Januari 12,2020.
3-01
Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia Viongozi na Wananchi katika Kijiji cha Kivunge mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja  Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya Shamra shamra za kuelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa Januari 12,2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *