Katika kuhakikisha kuwa, wigo wa matumizi ya Gesi Asilia nchini unaongezeka kwa kufikia wateja wengi, Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) wapo katika majadiliano ya kuhakikisha kuwa Gesi Asilia inasambazwa katika Mikoa mbalimbali nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua leo tarehe …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA UKAGUZI NA TATHMINI YA KINA YA MIRADI YOTE YA UMWAGILIAJI NCHINI – MHE MGUMBA
Serikali iko katika mchakato wa kufanya ukaguzi na tathmini ya kina ya miradi yote ya umwagiliaji nchini ili kufanya uhakiki wa eneo la umwagiliaji kwa lengo la kubaini ubora wa miradi, thamani ya fedha, gharama za mradi na mahitaji halisi ya sasa ya kuboresha, kuendeleza na kuongeza miradi mipya ya …
Soma zaidi »PROF MCHOME AKUTANA NA WATOA MSAADA WA KISHERIA JIJINI ARUSHA
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome amekutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha na kuwataka kuleta matokeo kupitia huduma ya msaada wa kisheria. Prof Mchome alikutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, KUTOKA BUNGENI
WADAU WA KUANDAA MPANGO KAZI WA PILI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU 2019-2023 WAKUTANA
Wadau wa kuandaa Mpango Kazi wa Pili wa Kitaifa wa Haki za Binadamu 2019-2023 wanakutana kama kamati kupitia maoni ya mtaalamu mshauri kwa ajili ya kuandaa mpango huo. Kikao hicho kinafanyika mjini Singida kimefunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ambaye amewataka wadau hao wahakikishe …
Soma zaidi »KONGAMANO LA KWANZA LA KISAYANSI KUHUSU KUTAFSIRI TAFITI KWA VITENDO LA FUNGULIWA DAR.
Wataalam wa afya nchini wametakiwa kujikita zaidi katika kufanya utafiti na uvumbuzi ili kuleta matokeo chanya katika utoaji wa huduma za afya. Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Charles Majinge wakati akifungua kongamano la kwanza la kisayansi kuhusu kutafsiri …
Soma zaidi »MUHIMBILI YAPOKEA VIFAA TIBA VYA KUTIBU SARATANI YA MACHO
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashini za kutoa tiba ya saratani macho kwa watoto bila kuyaondoa zenye thamani ya shilingi milioni 170 kutoka Rotary Club Oyster bay jijini Dar es Salaam. Msaada huu utawanufaisha watoto wengi wanaofikishwa hapa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa huduma ya saratani ya …
Soma zaidi »KITUO KIKUBWA CHA BIASHARA CHA AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA NYAKANAZI MKOANI KAGERA
Serikali inatekeleza mpango mkakati wa kujenga Kituo kikumbwa cha Biashara cha Afrika Mashariki katika eneo la Nyakanazi Mkoani Kagera ili kuwanufaisha wananchi wanozunguka eneo hilo na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki- EAC. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …
Soma zaidi »BILIONI 20 ZAKUSANYWA ADA YA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI
Takriba Sh bilioni 20.3 zimefikishwa kwenye mfumo wa malipo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kugawa vitambulisho vya wajasiliamali vipatavyo 1,022,178. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alipokuwa akizungumza na wakuu wa mikoa kabla ya kupitia …
Soma zaidi »TANZANIA TUNAO UWEZO MKUBWA WA KUZALISHA MIFUKO MBADALA – MAKAMBA
Tanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma yake ya kupiga marufuku biashara na matumizi ya mifuko ya plastiki. Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, mhe. Januari Makamba wakati akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa …
Soma zaidi »