PROF MCHOME AKUTANA NA WATOA MSAADA WA KISHERIA JIJINI ARUSHA

  • Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome amekutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha na kuwataka kuleta matokeo kupitia huduma ya msaada wa kisheria.
  • Prof Mchome alikutana na watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa shughuli za msaada wa kisheria zinazotolewa kwa wananchi  ili  kuboresha huduma hizo kwa wananchi.
  • “Msaada wa kisheria unalenga kumsaidia mwananchi ilia pate matokeo fulani, nakama mkishindwa kupata matokeo mtakuwa hamjatimiza lengo la kutungwa kwa Sheria ya Msaada wa Kisheria,” amesema Prof. Mchome.
  • Amesema Sheria ya Msaada wa Kisheria No.1 ya 2017 imelenga kupata matokeo kama ya kusaidia mwananchi-1 kupata haki yake na kama  kumaliza kesi bila ya kuzipeleka Mahakamani basi hayo ni matokeo chanya kwani inawezesha Serikali na mwananchi husika kuokoa fedha ambazo zingetumika kufungua na kuendesha kesi kutumika kwa shughuli nyingine za maendeleo.
  • Prof. Mchome pia amewataka watoa huduma hao kupitia wasaidizi wa sheria kuhakikisha huduma ya msaada wa kisheria inatolewa kwa wananchi wenye uhitaji ambao wanakidhi vigezo ambavyo vipo kwa mujibu wa sheria.
  • Amesema sheria ni chombo cha maendeleo na zinakuwepo ili kutengeneza njia sahihi ili wananchi kupita na hivyo kupata haki zao na maendeleo kwa ujumla.
  • “Sheria zipo ili kuleta aina fulani ya utaratibu na maendeleo ya nchi, sio wote wanayajua hayo, sheria inafanya kazi hiyo inakuelekeza kwa kuanzia na msaada wa kisheria ni pamoja na kufanya kazi ya kuelekeza njia ya kufuata kupata haki na kutatua kero ya wananchi,” alisema.
  • Wizara ya Katiba na Sheria iko katika ziara ya kuwatembelea watoa huduma za msaada wa kisheria nchini kwa ajili ya kukagua wanavyotoa huduma zao na  kujua changamaoto zinazowakabili ili kuboresha huduma za msaada wa kisheria nchini.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YAONGEZA HIFADHI SITA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Na Pamela Mollel,Ngorongoro Tanzania imeongeza hifadhi sita (6) kwa kipindi cha miaka mitatu kutoka hifadhi …

223 Maoni

  1. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  2. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  3. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  4. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  5. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  6. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  7. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  8. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  9. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  10. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  11. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  12. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  13. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  14. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  15. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  16. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  17. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  18. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  19. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  20. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  21. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  22. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  23. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *