LIVE:KUTOKA BUNGENI, MASWALI KWA WAZIRI MKUU
RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA UNHCR
SERIKALI KUINUA ZAO LA KAHAWA NCHINI
Serikali imeamua kuanzisha minada ya kahawa kwenye maeneo ya uzalishaji kuanzia msimu wa 2019/2020 ili kuinua zao hilo la kimkakati nchini. Hayo yamesemwa Bungeni Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba wakati akijibu swali Mhe. Bernadeta Mushashu kuhusu mpango wa Serikali wa kuinua zao la kahawa Mkoani Kagera ikiwemo kupandisha …
Soma zaidi »MISRI YAKUBALIANA NA TANZANIA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA NA NGOZI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini. Waziri Mpina amebainisha hayo Februari 5,2019 ofisini kwake jijini Dodoma mara baada ya kupata ugeni kutoka nchini Misri ukiongozwa na Waziri wa Kilimo …
Soma zaidi »WANANCHI WA MKOA WA PWANI WAPONGEZA UBORESHAJI HUDUMA ZA AFYA
Waganga, Wakunga na Wananchi wa Mkoa wa Pwani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa hatua inazozichukua kuboresha huduma za Afya kwa kutoa fedha kwa ajili ya upanuzi wa vituo vya afya na ujenzi wa hospitali za Wilaya mkoani humo. Pongezi hizo zimetolewa na wadau hao wa afya mapema wiki hii, …
Soma zaidi »LIVE;RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA
https://youtu.be/ySsErVpp9_E
Soma zaidi »SERIKALI YAZIPIGA JEKI HALMASHAURI 12 KUTEKELEZA MIRADI YA KIMKAKATI YA SHILINGI BILIONI 137
Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya kutekeleza Miradi 15 ya kimkakati, yenye lengo kuhakikisha Halmashauri zinaongeza mapato ya ndani na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Serikali Kuu. Hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya ruzuku hiyo umefanyika …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA
RAIS MAGUFULI ANGARA AFRIKA KWENYE UCHUMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kung’ara kimataifa katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi Jijini Dodoma, wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali …
Soma zaidi »