Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la utalii duniani nchini Urusi kwa mwaka 2018 (The Best Destination to the World in the Category of Exotic Destination 2018). Balozi wa Tanzania nchini Urusi Mhe. Maj. Gen. (Mst). Simon Mumwi atapokea Tuzo hiyo kutoka Jarida la …
Soma zaidi »TANZANIA TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE
Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA ZANZIBAR IKULU
Live Tabora: Waziri Mkuu katika Uzinduzi wa Jukwaa la Fursa za Biashara
https://youtu.be/M9EKc_5gMAQ
Soma zaidi »Miradi Mipya ya Umeme Ilenge Maeneo Yenye Changamoto – Dkt Kalemani
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewataka wataalam wanaopanga maeneo yanayopaswa kupelekewa umeme kupitia miradi mbalimbali kuhakikisha kuwa wanakuwa makini katika upangaji wa maeneo hayo ili kutorundika miradi mingi katika maeneo ambayo tayari yameshasambaziwa umeme. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake na Naibu Waziri wa Nishati, …
Soma zaidi »Tuhimize Michezo Sehemu za Kazi – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Mashirika na Taasisi kutenga fedha kwa ajili ya michezo. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa Mashindano ya SHIMMUTA uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. “Kwa Wakuu wa Taasisi, kwa kuwa …
Soma zaidi »MUFTI: “NI LAZIMA DINI TUKEMEE USHOGA!”
Ni Mufti Abubakar Zuberi bin Ally Asema hayo alipokuwa akizungumza katika Baraza la Kitaifa la Maulid lililofanyika Korogwe mkioani Tanga. Amesema haiwezekani waumin wabaki wanafanya ibada lakini vitendo vya ushoga vinatokea na wanaovifanya wanaonekana na kuachwa bila kukemewa. Adai kidin, yapo mambo mawili; La kwanza ni kukataza (kukemea) na kuamrisha …
Soma zaidi »UJENZI WA KIWANDA CHA MAGARI WAANZA
Zaidi ya billioni 22 za Kitanzania zimetengwa kwaajili ya hatua ya kwanza ya ujenzi wa Kiwanda cha uundaji wa magari cha Youngsan Glonet Corporation (KOTA) kutoka Jamhuri ya watu wa Korea. Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam baada ya hatua ya awali ya kutiliana …
Soma zaidi »“Njia pekee ya kuwalinda watoto wa Kike ni kuwapeleka shule” – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku 5 mkoani Manyara. Akizungumza kwenye kikao cha majumuisho ambacho kilihudhuriwa na Viongozi na Watendaji wa mkoa huo Makamu wa Rais aliwapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya na kuainisha maeneo kadhaa ambayo yanatakiwa kutupiwa …
Soma zaidi »LIVE: Baraza Kuu la Maulid ya Kitaifa; Korogwe – Tanga
https://youtu.be/xs9OMLQhYS4
Soma zaidi »