Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan amewataka wamiliki wa migodi na viwanda vya kuchenjua madini nchini kuzingatia haki na usalama wa wafanyakazi wao. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachotengeneza madini ya Kinywe (Graphite), Mirerani …
Soma zaidi »LIVE: BUNGENI DODOMA maswali na majibu leo 15 novemba 2018.
MAGARI 70 YA JESHI YAONDOKA DAR
Tutangulize maslahi ya Taifa na si maslahi binafsi – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi na Watendaji wa mkoa wa Kilimanjaro kufanya kazi kwa kushirikiana, kuheshimiana na kupendana. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. …
Soma zaidi »Naagiza Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, AZIMIO, Kamishna TRA wakutane – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri MkuuKassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited katika eneo la Dege Beach Kigamboni na kutamka kuwa amesikitishwa na uharibifu wa mali na wizi unaendelea kwenye eneo hilo. Amewaagiza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William …
Soma zaidi »LIVE: Mkutano wa 13 wa BUNGE, Maswali na Majibu
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA Bi.SIFAELI KUNDASHUMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya tano imekusudia maendeleo na panapo hitajika maendeleo lazima ukweli usemwe. Akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha Makamu wa Rais alisema “Wakazi wa Siha hamna budi kubadilika mchague watu wenye itikadi …
Soma zaidi »LIVE; MKUTANO WA KUMI NA TATU WA BUNGE KIKAO CHA SITA – MASWALI NA MAJIBU
Serikali Imejipanga Kila Eneo – Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema hakuna Maendeleo pasipo Utawala bora. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro. “Viongozi wa Halmashauri, Viongozi wa Wilaya wasipokuwa na Utawala bora, wasiposhirikiana, Chama, Serikali, Wilaya, …
Soma zaidi »WATALAAM KUTOKA MUHIMBILI WAWASILI LINDI KUTOA HUDUMA ZA AFYA
Madaktari Bingwa 11 pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wamewasili katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo sanjari na kuwajengea uwezo wataalam wa hospitali hiyo. Daktari Bingwa wa magonjwa ya kike …
Soma zaidi »