Tanzania MpyA+

HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI WAANZA ZOEZI LA KUPANDIKIZA VIFAA VYA USIKIVU KWA WATOTO

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),leo  Novemba 12, 2018 wameanza zoezi upasuaji wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa watoto 10 ambao wana matatizo ya kusikia baada ya kukamilika kwa maandalizi, mwisho zoezi hilo linafanyika hadi  hadi November 16, 2018. Watoto hao watapandikizwa vifaa vya usikivu baada ya wataalam kuwafanyia uchunguzi wa …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.

Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …

Soma zaidi »

“Sisi sote Tunajenga Nyumba Moja Bila Kujali Itikadi” – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa Wilaya ya Rombo kufanya kazi kwa kushirikiana. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Wilaya hiyo. ” Sisi sote tunajenga nyumba moja bila kujali itikadi”. Aidha amewatahadharisha Viongozi hao kuacha tabia …

Soma zaidi »