Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Maria Kamm (kulia) ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI
Matokeo ChanyA+
November 10, 2018
IKULU, Makamu wa Rais, MAWASILIANO IKULU, Tanzania MpyA+
1,030 Imeonekana
Unaweza kuangalia pia
Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …