“Sisi sote Tunajenga Nyumba Moja Bila Kujali Itikadi” – MAKAMU WA RAIS

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Kilimanjaro.
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa Wilaya ya Rombo kufanya kazi kwa kushirikiana.
    Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Wilaya hiyo.
    ” Sisi sote tunajenga nyumba moja bila kujali itikadi”. Aidha amewatahadharisha Viongozi hao kuacha tabia ya kuomba rushwa kutoka kwa wananchi.
Makamu wa Rais
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye kikao, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira Makamu  yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Kilimanjaro.
MAKAMU WA RAIS  SAMIA SULUHU HASSAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Tarakea wilayani Rombo wakati alipokuwa njiani kuelekea kwenye shamba la miti la Serikali Rongai.

 

MAKAMU ZIARANI KILIMANJARO
Wananchi wakionyesha bango kwa Makamu wa Rais ambaye yupo ziarani mkoani Kilimanjaro
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *