Balozi Brigedia Generali Wilbert Ibuge,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India katika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalilenga kubadilishana mawazo na uzoefu baina yao kuhusu masuala mbalimbali …
Soma zaidi »MKUTANO WA VIDEO WA BARAZA LA MAWAZIRI UMOJA WA AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia ya video. Anayeonekana katika Screen pichani ni Waziri wa Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini na …
Soma zaidi »Ole NASHA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha akisisitiza jambo walipofanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngaga aliyemtembelea Naibu Waziri Ofisini kwake jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole …
Soma zaidi »RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI KUFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili hapa nchini Tanzania kuanzia tarehe 11 – 12 Januari 2021 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano …
Soma zaidi »WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA WANG YI ATEMBELEA MWALO WA SAMAKI WA CHATO MKOANI GEITA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatiamaelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki waaina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoriawakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapemaasubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi …
Soma zaidi »TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA IORA
Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi zilizo kwenye Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian Ocean Rim Association – IORA) katika kutekeleza mikakati ya uchumi wa bluu ambao unalenga kuimarisha sekta ya uvuvi hususan uvuvi wa bahari kuu. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki …
Soma zaidi »RWANDA YARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BANDARI YA DSM PIA YAZUNGUMZIA JUU YA MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA UTAKAOFANYIKA RWANDA
Serikali ya Rwanda imeeleza kuridhishwa kwake na utoaji wa huduma katika Bandari ya Dar es Salaam na kuahidi kuendelea kuitumia Bandari hiyo ambayo inahudumia zaidi ya asilimia 80 ya mizigo ya Nchi hiyo. Balozi wa Rwanda hapa Nchini Meja Jenerali Charles Karamba ameyasema hayo mjini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo …
Soma zaidi »WAZIRI KABUDI AHIMIZA USHIRIKIANO MIONGONI MWA NCHI ZA OACPS
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye pia Rais wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pasific (OACPS) jana tarehe 14 Disemba, 2020 amefungua na kuongoza Mkutano wa Jumuiya hiyo ambao uanatarajiwa kufanyika kwa kipindi cha …
Soma zaidi »TANZANIA NA PAKISTAN ZASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA KIDIPLOMASIA
Tanzania na Pakistan zimetiliana saini mikataba miwili ya makubaliano ambayo ni mkataba wa mashaurino ya kidiplomasia pamoja na mkataba wa kuanzisha tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John …
Soma zaidi »TANZANIA YAHIMIZA MATAIFA MAKUBWA KUENDELEA KUZIFUTIA MADENI NCHI ZA OACPS
Na Nelson Kessy, Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo kuhakikisha kwamba chanjo ya COVID-19 itakayopatikana inazifikia nchi zote za Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri …
Soma zaidi »