ZANZIBAR

WAJUMBE WA BODI ZANZIBAR WAIPONGEZA MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi wakati akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao …

Soma zaidi »

BALOZI IDDI ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA OFISI ZA SERIKALI YA ZANZIBAR DODOMA

Makamuwa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi ameoneshwa na kutembelea eneo ambalo zitajengwa Ofisi za Serikali hiyo eneo la Mahoma Makulu Jijini Dodoma. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Balozi Iddi ambaye aliambatana na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi …

Soma zaidi »

MAWAZIRI BARA, ZANZIBAR WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar  Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo …

Soma zaidi »

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA

Uongozi wa Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) umetakiwa kuandaa programu maalum ya mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya Viongozi, Watendaji Wakuu na Watumishi wengine wa Serikali. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …

Soma zaidi »

SMZ YAJIPANGA KUJENGA MIJI MIPYA YA KISASA KATIKA SHEHIA ZA KWAHANI, CHUMBUNI NA BUBUBU

Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud ameelezea kuridhishwa kwake na jinsi Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanavyotafuta na kutumia fursa zilizopo kushajihisha maendeleo ya jamii nchini Akizungumza na ujumbe wa Watanzania wanaoishi nje ya nchi wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza la Watanzania wanaoishi nje ya nchi (TDC …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AKABIDHI BIL 1.7 RUZUKU KWA VIJANA TOKA USAID

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo  amekabidhi hundi za mfano zenye thamani ya Tsh 1,731,038,850 kwa Taasisi tisa za vijana wa Mikoa ya Mbeya, Iringa pamoja na Zanzibar kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye viwanja vya Sido Jijini Mbeya. Akizungumza katika hafla …

Soma zaidi »