Meli ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya Damen Shipyards katika karakana zake zilizopo katika mji wa Yichang nchini China itaondoka kesho Shanghai kuelekea Zanzibar kwa ajili ya makabidhiano rasmiKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango wa SMZ Nd Khamis Omar akisaini makabidhiano ya kiufundi ya Meli mpya ya kubeba mafuta “Ukombozi II” jijini Shanghai. Tukio hilo limeshuhudiwa na Katibu Mkuu wa Uchukuzi wa SMZ Mustafa Jumbe na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nd Said MassoroKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango wa SMZ Nd Khamis Omar akiwa katika ya Meli mpya ya kubeba mafuta “Ukombozi II” jijini Shanghai. Tukio hilo limeshuhudiwa na Katibu Mkuu wa Uchukuzi wa SMZ Mustafa Jumbe na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nd Said MassoroKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango wa SMZ Khamis Omar akiwa katika ya Meli mpya ya kubeba mafuta “Ukombozi II” jijini Shanghai. Tukio hilo limeshuhudiwa na Katibu Mkuu wa Uchukuzi wa SMZ Mustafa Jumbe na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nd Said MassoroMeli ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya Damen Shipyards katika karakana zake zilizopo katika mji wa Yichang nchini China itaondoka kesho Shanghai kuelekea Zanzibar kwa ajili ya makabidhiano rasmi