Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) amempongeza Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo Ndg Andrew Massawe kwa kuzisimamia kwa weledi mkubwa Bodi na Taasisi zilizo chini yake hivyo kuendeleza uwajibikaji kuhakikisha kuwa sekta ya kilimo inaendelea kuimarika. Amesema kuwa wananchi wana imani …
Soma zaidi »Makamu wa Rais
September, 2021
-
10 September
WAKANDARASI WASISITIZWA KUHESHIMU MIKATABA
Veronica Simba – Tabora Serikali imewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuheshimu makubaliano ya utendaji kazi yaliyoafikiwa baina ya pande hizo mbili kupitia mikataba waliyosaini. Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati akizungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo Mkoa …
Soma zaidi » -
9 September
DKT. MWIGULU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA MISRI
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewakaribisha Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kuwekeza na kufanya biashara na Tanzania kutokana na uwepo wa mazingira rafiki na fursa za uwekezaji. Waziri nchemba ametoa rai hiyo mjini Cairo Misri, wakati wa Kongamano la Kimataifa la Ushirikiano la Misri (Egypt International …
Soma zaidi » -
9 September
WAZIRI DKT.NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSIANA NA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei za wanyamapori katika biashara uwindaji wa kiutalii Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao ana kwa ana na baadhi ya mawaziri wa Utalii wa nchi za Afrika katika …
Soma zaidi » -
9 September
ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JOHN JINGU GEREZA KUU LA ISANGA DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi nzuri ya kuhakikisha mahabusu na wafungwa magerezani wanapata usimamizi mzuri na kutatuliwa changamoto zao. Dkt. Jingu ameyasema hayo akiwa katika Gereza Kuu la Isanga Jijini Dodoma ikiwa ni ziara yake …
Soma zaidi » -
8 September
BENKI YA TADB YATOA SH. BIL.281.74 KUENDELEZA KILIMO
Na. Sandra Charles na Regina Frank, WFM, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mikopo yenye jumla ya Shilingi bilioni 281.74 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchini kwa wakulima 1,514,695 vikiwemo vyama vya wakulima 151. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri …
Soma zaidi » -
8 September
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 68 KUTOKA UJERUMANI
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dar es Salaam Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili na Mifumo ya Ikolojia nchini. Katibu Mkuu wa …
Soma zaidi » -
8 September
RAIS SAMIA ASIMIKWA RASMI KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. …
Soma zaidi » -
8 September
TANZANIA, ZIMBABWE ZAKUTANA CAPE VERDE KUJADILI BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei za wanyamapori katika biashara uwindaji wa kiutalii. Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao ana kwa ana na baadhi ya Mawaziri wa Utalii wa nchi …
Soma zaidi » -
8 September
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA AFRICA – CARRICOM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na washiriki mbalimbali ambao ni wakuu wa Nchi na Serikali wakati aposhiriki mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia ya mtandao. Septemba 7, 2021. Makamu wa …
Soma zaidi »
August, 2021
-
24 August
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA NA RAIS UHURU KENYATA WA KENYA JIJINI LUSAKA ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya walipokutana kwenye Sherehe ya …
Soma zaidi » -
24 August
DKT. ANNA MAKAKALA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU DODOMA
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Uhamiaji Makao Makuu linaloendelea kujengwa Jijini Dodoma chini ya kampuni ya ujenzi ya SUMAJKT.CGI Dkt. Makakala ameyasema hayo mapema leo hii alipokutana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajab Mabele …
Soma zaidi » -
20 August
BODI YA MAZAO MCHANGANYIKO (CPB) YAASWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO NCHINI
Waziri wa Kilimo nchini Mhe. Profesa Adolf Mkenda akipokea maelezo ya bidhaa itokanayo na zao la alizeti wakati wa sherehe ya kuzindua viwanda vya uchakataji mazao jijini Dodoma Jumatano iliyopita. Bodi ya Mazao Mchanganyiko (CPB) nchini imeaswa kufanya jitihada za ziada katika kuyaongezea thamani mazao ili kuweza kushindana na soko …
Soma zaidi » -
20 August
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA MASHARTI NAFUU WENYE THAMANI YA SHILINGI TRILIONI 2.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA
Pichani kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick (kushoto) wakionesha mmoja kati ya mikataba mitano ya mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi katika sekta …
Soma zaidi » -
18 August
KAZI INAENDELEA YA KUSIMIKA MABOMBA YA KUTOLEA MAJI KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Kazi ya usimikaji wa bomba (Draft tube) sehemu ya chini kabisa kwenye mashine nambari 9 imeanza Agosti 17, 2021, katika mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), bomba hizo zitatumika kutolea maji katika mitambo ya kufua umeme na kuyarudisha mto Rufiji kwa ajili ya matumizi mengine.Hii ni hatua kubwa …
Soma zaidi »