Recent Posts

ALAT YAZITAKA HALMASHAURI KUHESHIMU FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) Elirehema Kaaya amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo zinatumika kikamilifu ikiwa ni pamona na kubana mianya yote ya ubadhirifu inayoweza kujitokeza. Aliyasema hayo jijini Dar es …

Soma zaidi »

TIC – MILANGO IPO WAZI KWA WAWEKEZAJI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Mtwara. Katika kuhakikisha azma ya Serikali ya kuendeleza na kukuza uchumi wa Viwanda, Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC kimesema ipo haja kwa Wawekezaji kukitumia kituo hicho katika kufanikisha shughuli zao ambazo ndio chachu ya ukuaji wa uchumi huo. Kituo hicho ambacho kinaratibu, kuhamasisha na kusimamia Uwekezaji nchini sasa …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA WILAYA BAHI YAFANIKIWA KUONGEZA MAPATO

Na Zynabu AbdulMasoud, Halmashauri ya wilaya ya Bahi imefanikiwa kuongeza kipato Cha Wananchi kutoka 420,000 hadi 980,000 na kuongeza mapato ya Halmashauri hadi kufikia sh Bilioni 1.6 kutokana na uwekezaji uliofanywa na serikali ya awamu ya tano kupitia miradi mbalimbali. Aidha uwekezaji kwenye sekta ya elimu katika halmashauri hiyo umesaidia …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AIASA JAMII KUTOPUUZA VYAKULA VYA ASILI

NA.MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuendelea kutumia vyakula vya asili ili kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake …

Soma zaidi »