Recent Posts

NENDENI MKAZINGATIE VIAPO VYENU – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi waliapishwa kuzingatia viapo vyao katika kufanya kazi zao, Rais amesema hayo wakati akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Idd Kimanta aliyemteua hivi karibuni, Ikulu jijini Dar Es Salaam. Rais amesema kuwa anasikitishwa kuona watu aliowateua, kuwaapisha na kuwaamini kwa niaba ya watanzania hawafanyi …

Soma zaidi »

BODI YA TANESCO IMEFANYA KAZI NZURI – WAZIRI KALEMANI

Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), akisema imefanya kazi nzuri katika kushughulikia changamoto mbalimbali za umeme nchini. Alibainisha hayo Juni 17, 2020 alipokutana na kuzungumza na Bodi hiyo jijini Dodoma, akiwa ameambatana na Naibu wake, Subira …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI UJENZI AAGIZA KIPANDE CHA BARABARA NJOMBE -MORONGA KIKAMILISHWE IFIKAPO MWEZI OCTOBA MWAKA HUU

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara …

Soma zaidi »

DKT. CHAULA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA UMOJA WA POSTA WA AFRIKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainabu Chaula (wa kwanza kushoto) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya PAPU, Arusha kutoka kwa msimamizi wa ujenzi, Mhandisi Hanington Kagiraki (wa kwanza kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa Sekta hiyo, Dkt. Jim Yonazi. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA VIONGOZI 3 WA MKOA WA ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na …

Soma zaidi »