MSD YAFANYA ZOEZI LA KUHESABU MALI, DAWA NA VIFAA TIBA ILI KUFUNGA MWAKA

zoezi la kuhesabu mali (Dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara likiendelea kwenye maghala ya MSD Makao Makuu
Mtumishi wa Kanda ya Mwanza akiendelea na zoezi la kuhesabu dawa na vifaa tiba, ambapo Meneja wa Kanda hiyo Bi. Rehema Shelukindo amewahakikishia wateja wa vituo vya kutolea huduma za Afya

Bohari ya Dawa (MSD)  inafanya zoezi la kuhesabu mali za taasisi ili kufunga mwaka kwenye Kanda zote za MSD na Makao Makuu.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *