Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo Juni 17, 2020 ametangaza tarehe za kuanza kwa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Upimaji wa kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma, Prof. Ndalichako amesema …
Soma zaidi »Recent Posts
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Dkt John Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge …
Soma zaidi »RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na …
Soma zaidi »DKT. CHAULA AAHIDI KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wakiimba kwa furaha kumpongeza na kumkaribisha Katibu Mkuu wao, Dkt. Zainabu Chaula (hayupo pichani) kwa kuteuliwa kuongoza Sekta hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi …
Soma zaidi »SEKTA YA ELIMU NI WAKALA WA MABADILIKO KATIKA JAMII, KIUCHUMI, KITEKNOLOJIA NA KIUTAMADUNI – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa tatu kulia) wakiweka jiwe la Msingi la Shule ya Sekondari ya Wachana ya Bunge iliyojengwa na wabunge na kukabidhiwa kwa Serikali Juni 14, 2020. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na wa pili kulia …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiingia kukagua jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Biharamulo mkoa wa Geita lililojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati wa ziara yake katika mkoa wa Geita mwishoni mwa wiki. Na Munir Shemwta, …
Soma zaidi »TANESCO INATARAJIA KUKUSANYA TAKRIBAN SHILINGI BILIONI 6 ZA ZIADA KATIKA MAUZO YA UMEME MKOANI GEITA
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka akiwa katika ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa Mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220 amesema TANESCO inatarajia kukusanya takriban Shilingi bilioni 6 za ziada katika mauzo ya umeme Mkoani Geita.Dkt. Mwinuka alisema kiasi hicho cha fedha ni kutoka katika Mgodi …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU: MAPATO YA MFUKO WA MAZINGIRA YAAINISHWE KWENYE SHERIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema ipo haja ya kuanisha vyanzo vya mapato ya mfuko wa mazingira kwenye sheria ili kuongeza wigo katika usimamizi wa mazingira. Zungu amesema hayo leo alipokutana na wadau wa mazingira kutoka Jukwaa la Kilimo pamoja …
Soma zaidi »HUDUMA ZA AFYA ZABORESHWA BUNDA NA KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Jonas Kamaleki, Bunda Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Bunda, mkoani Mara. Baadhi ya wakazi wa Bunda wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwaboreshea na kuwasogezea huduma za afya hivyo kuwaondolea adha walizokuwa wakizipata kabla …
Soma zaidi »