Recent Posts

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 …

Soma zaidi »

WAKULIMA IRINGA NA MBEYA KUNUFAIKA NA MRADI WA BARABARA ZA LAMI

Na. Geofrey A. Kazaula Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA unaendelea na mpango wake wa kujenga barabara za lami kupitia mradi wa Agri-Conect ili kuhakikisha wakulima wanaweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka mashambani hadi viwandani na sokoni. Mradi huo wa Agri–Conect unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na …

Soma zaidi »

TANAPA YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA MABANGO YA TAHADHARI BARABARANI ILI KUPUNGUZA IDADI YA WANYAMAPORI WANAOGONGWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha kwa pamoja Wadau wa Uhifadhi kujadili jinsi ya kulinda shoroba ya Kwakuchinja pamoja na maeneo mengine muhimu ya Wanyamapori  katika  ikolojia ya Tarangire na  Manyara katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kushoto ni Mkuu wa …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI

Waziri wa Madini Doto Biteko akikagua shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Lusu, wilayani Nzenga Mkoa wa Tabora. Serikali imesema Ushuru wowote unaotolewa kwenye Maeneo ya Migodi Nchini ni lazima uthibitishwe na Maafisa Madini walioko kwenye maeneo husika. Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020  na Waziri wa Madini Doto Biteko …

Soma zaidi »

UJENZI WA JENGO LA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI

Jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jengo hili la ghorofa 3 litakuwa na Mahakama ya Mwanzo, Wilaya na Mkoa, ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama, Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka. Muonekano wa jengo linalojengwa …

Soma zaidi »

UJENZI WA MV MWANZA UNATARAJIWA KUKAMILIKA MAPEMA 2021

Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Fundi akiwa kazini Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ukiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Mafundi wakiendelea na Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Kazi hiyo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA KATA YA SUNYA

NA SAKINA ABDULMASOUD,KITETO. “Siku moja nilimshuhudia mama mmoja alikuwa mjamzito,alianza kuumwa tukataka kumpeleka hospitali,tulihangaika usafiri kwa watu mpaka tunakuja kuupata yule mama alishahangaika sana kwa uchungu,lakini tunamshukuru Mungu tulimfikisha na alijifungua salama,”ni Sefae Zibani mkazi wa Kata ya Sunya mkoani Manyara. Mkazi huyo na wenzake wanarudisha nyuma kumbukumbu wakati wakitembea …

Soma zaidi »