UJENZI WA MV MWANZA UNATARAJIWA KUKAMILIKA MAPEMA 2021

Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021
Fundi akiwa kazini Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ukiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021
Mafundi wakiendelea na Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021
Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021

Unaweza kuangalia pia

KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.