Recent Posts

TUNATAKA MBEGU ZOTE ZIZALISHWE NCHINI – WAZIRI HASUNGA

Serikali imeeleza kuwa imekusudia kuanzisha juhudi wezeshi kuhakikisha kuwa mbegu bora za kilimo zinazalishwa nchini ili kuondokana na wimbi la uagizaji wa mbegu nje ya nchi. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 22 Disemba 2019 mara baada ya kutembelea kampuni ya Namburi inayojihusisha na uzalishaji wa …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AFUNGUA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME – KIGOMA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amefungua kiwanda cha Nguzo cha Qwihaya, kilichopo katika Mtaa wa Kasanga, Wilaya ya Kasulu, Mkoani Kigoma Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara, mara baada ya ufunguzi wa kiwanda hicho Dkt. Kalemani alieleza kuwa Serikali ilikuwa inapata gharama kubwa kutoa Nguzo katika Mikoa mengine kuzifikisha Mkoani …

Soma zaidi »

TANZANIA YAONGEZA HIFADHI SITA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Na Pamela Mollel,Ngorongoro Tanzania imeongeza hifadhi sita (6) kwa kipindi cha miaka mitatu kutoka hifadhi za Taifa 16 hadi 22 hivi sasa. Hayo yalisemwa na Kamishna Mkuu wa shirika la hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi kama moja ya mafanikio kwenye kongamano la watafiti wa masuala ya uhifadhi, kuelekea …

Soma zaidi »

WIZARA YA AFYA YATOA PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII MKOANI KATAVI

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametoa pikipiki 15 kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Kata za Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi na kusisitiza matumizi mazuri na yaliyokusudiwa ya pikipiki hizo. Akizungumza katika halfa ya ugawaji pikipiki hizo Waziri Ummy Mwalimu amewataka Maafisa …

Soma zaidi »

NI MARUFUKU MADALALI KWENYE MAZAO – MHE HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 20 Disemba 2019 amepiga marufuku madalali wa mazao ya kilimo ambao wanatumia nafasi hiyo kuwagalaliza wakulima. Waziri Hasunga amepiga marufuku hiyo wakati akizungumza kwenye mnada wa Kakao uliofanyika kwenye kijiji na kata ya Ikolo iliyopo katika Wilaya ya Kyela wakati akiwa …

Soma zaidi »