Recent Posts

TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA

Ikiwa ni muendelezo wa majadiliano mbalimbali kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP), Kamati za Ulinzi na Usalama za mradi kutoka  nchi hizo zimekutana jijini Kampala kwa lengo kujadili masuala ya usalama ya mradi huo. Kikao kati ya pande hizo mbili kilianza tarehe 18/3/2019 na …

Soma zaidi »

SERIKALI KUANZA RASMI MAJADILIANO YA MRADI WA UCHAKATAJI NA UUZAJI GESI

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameeleza kuwa, Serikali imeamua kuanza rasmi majadiliano ya mradi wa uchakataji na uuzaji gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG project)  mwanzoni mwa mwezi wa Nne mwaka huu Dkt Kalemani ameyasema hayo jijini Dodoma wakati wa kikao chake na watendaji wa kampuni …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KOROMIJE

Waizri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mradi wa ujenzi na ukarabati mkubwa wa kituo cha afya cha kata ya Koromije wilayani Misungwi na amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejipanga vizuri kuboresha huduma za afya. Amesema uboreshaji huo unahusisha ujenzi wa chumba cha upasuaji, maabara, chumba cha kujifungulia, wodi ya mama na mtoto …

Soma zaidi »

VIJANA WAANZA KUITIKIA WITO WA KUCHAPA KAZI KIZALENDO

Vijana wa kijiji cha Chihwindi kata ya Mtumachi, Newala mkoani Mtwara wamefyeka uwanja  wa kijiji hicho kwaajili ya ujenzi wa kiwanja hicho cha timu ya kijiji maarufu kwa jina la POCHI NENE. Akizungumzia tukio hilo Ndugu Musa Shaibu, amesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuhamasisha vijana kujitolea kufanya kazi …

Soma zaidi »

SERIKALI INATEKELEZA UJENZI WA MITAMBO 55 YA BIOGAS

Miradi ya Viwanda: Kiwanda cha Kuunganisha Matrekta (TAMCO, Kibaha): Hatua iliyofikiwa ni: kuingiza matrekta 822 aina ya URSUS (semi knocked down) ambapo matrekta 571 yameunganishwa na matrekta 339 yameuzwa; Kituo cha Zana za Kilimo na Ufundi Vijijini – CAMARTEC: kutengeneza zana zikijumuisha mashine 64 za kupandia mbegu za pamba, kusaga …

Soma zaidi »