Recent Posts

MKURABITA INATEKELEZA KWA VITENDO DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2025

Katika  kipindi cha miaka minne (2005 – 2008) uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika na Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.2 kwa mwaka kuongezeka kutokana na shughuli za kiuchumi katika sekta za viwanda, ujenzi na fedha. Pamoja na mwaka 2009 kuwa ni mwaka ambao kasi ya ukuaji wa …

Soma zaidi »

WAZALISHAJI SUKARI NCHINI WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI

Serikali imesema kuanzia sasa haitatoa vibali vya uagizaji sukari nje ya nchi kwa wazalishaji wa sukari badala yake serikali itatafuta utaratibu mwingine wa kuagiza. Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga ameyasema hayo wakati akifungua mkutano na Wadau wa Sekta Binafsi ambapo; lengo lilikuwa ni kubadilishana uzoefu, kupata maoni yao namna …

Soma zaidi »

TANZANIA YAPIGA HATUA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema nchi za Bara la Afrika zimeitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa. Ameyasema hayo Februari 11, 2019 wakati akitoa muhtasari wa yaliyojiri kwenye Mkutano wa 32 wa Wakuu wa nchi za Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopa. Waziri …

Soma zaidi »