Recent Posts

TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA KUZALISHA TAKWIMU ZINAZOHUSIANA NA JINSIA

Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanua kuhusu mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia. [soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/564293745″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS – CONGO IMEANDIKA HISTORIA MPYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Congo imeandika historia mpya kwa kukabidhiana madaraka kwa upendo na ana imani Viongozi wataendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya maendeleo na maslahi mapana ya nchi yao. Makamu wa Rais ambaye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri …

Soma zaidi »

WAGONJWA MOI KUFANYIWA UPASUAJI BILA NUSU KAPUTI

Taasisi ya tiba ya Mifupa MOI imeanzisha huduma ya kutoa dawa za usingizi (Reginal block Anaesthesia) ambapo eneo husika linalofanyiwa upasuaji ndilo litakolo husika kwa kuzuia mishipa ya fahamu na hivyo mgonjwa kuwa macho na kuzungumza au hata kusoma gazeti Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface …

Soma zaidi »