Recent Posts

WAZIRI MKUU AFANYIA KIKAO CHA MAWAZIRI IHUMWA

Aagiza wakae na wakandarasi wao na kupima kama watamaliza kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye eneo la tenki la maji la kutolea huduma katika ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba badala ya ukumbi wa Hazina kama alivyokuwa amepanga awali. Akiwa Ihumwa, Waziri Mkuu amewaagiza …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA MALIPO YA WASTAAFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …

Soma zaidi »

MIKOA 11 VINARA KWA MABARAZA YA BIASHARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb), ameitaja mikoa 11 ambayo ilianzisha mabaraza ya Biashara na hadi sasa yako hai na kubainisha kuwa mikoa mingine ilitekeleza agizo la kuanzisha mabaraza hayo tu lakini utendaji wa Mabaraza hayo umekuwa …

Soma zaidi »