Recent Posts

AHADI: Hii hapa ahadi ya Rais Dkt Mgufuli iliyotimiA

Ikumbukwe kwamba mnamo tarehe 17 Octoba 2015 katika kampeni za uchaguzi mkuu 2015, Dk Magufuli alifanya kampeni katika jimbo la Segerea, aliwaomba wakazi wa Dar es Salaam wampatie kura Oktoba 25 ili aweze kutekeleza miradi hiyo mikubwa itakayoenda sanjari na ujenzi wa barabara za juu zitakazopunguza foleni. LEO AHADI IMETIMIA …

Soma zaidi »

GAIRO: Gairo yafaidika milioni 135 katika Elimu

Mkuu wa wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchemba akiongozana na DED na Meneja TARURA wamefanya ziara Kata ya Mandege vijiji vya Njungwa na Ikwamba. Mbali na barabara kuwa changamoto wamefanikiwa kufika katika kata hizo. Katika kuboresha miundo mbinu ya barabara tayari TARURA wameanza ujenzi wa barabara hizo. Wananchi wa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA URITHI FESTIVAL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwa kutambua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa nchi yetu, na kwamba ili kuweza kupata watalii wengi zaidi lazima kuwa na usafiri wa anga ulio na uhakika; ndiyo maana Serikali imeamua kufufua shirika letu …

Soma zaidi »

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »

KIGOMA INAJENGWA UPYA

Barabara za mji wa Kigoma zajengwa upya kwa kiwango cha lami. Barabara ya Lusimbi inayotokea mtaa wa Shaurimoyo Mwanga kupitia barabara kuu ya Lumumba,Legezamwendo,Mabatini na inakuja kutokea Pefa Ujenzi jirani kabisa na Kanisa la Efatha Ministry ambayo inakutana na Kasulu Road Pia barabara Mji mwema ikianzia maeneo ya Bima Kigoma …

Soma zaidi »

HISTORIA NA MAISHA YA DKT. JAKAYA KIKWETE

•Nitabu kipya kinaandikwa na kinakuja hivi karibuni • Ni cha historia na maisha ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne. • Kitakuwa na safari nzima ya maisha, uongozi na hali ya sasa ya Mhe. Rais Mstaafu #TupoVizuri #MATAGA (tazama video …

Soma zaidi »