Recent Posts

WAZIRI MKENDA AWATAKA WADAU WA NDIZI KUCHANGAMKIA FURSA

Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) akizungumza wakati wa akifungua mkutano wa wadau wa zao la ndizi Kanda ya Kaskazini uliofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Septemba 25, 2021. Waziri wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda, amewataka wadau wa zao la ndizi nchini ikiwemo wawekezaji kuchangamkia frusa ya kuzalisha …

Soma zaidi »

WAZIRI NDAKI ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, AGAWA ENEO KWA WAFUGAJI

Na. Edward Kondela Serikali imekabidhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza eneo lenye ukubwa wa Hekta 6,000 lililotolewa kwa wananchi wa vijiji vya Mpeta na Chakuru ili ligawiwe kwa wananchi hao kwa ajili ya shughuli za ufugaji baada ya mgogoro wa muda mrefu wa wananchi hao kuvamia Hifadhi ya Ranchi …

Soma zaidi »

WATUMISHI WA TANESCO WATAKIWA KUJIANDAA KUIJENGA TANESCO MPYA

Na Dorina G. Makaya – Dar-es-salaam. Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamewatakiwa kuwa tayari kupokea mabadiliko, kufanya kazi kwa bidii na weledi na kutoa ushirikiano mzuri kwa uongozi wa TANESCO na bodi mpya iliyoteuliwa ili kulijenga upya Shirika la TANESCO na  kuliwezesha kufikia malengo yanayotarajiwa na Serikali. Rai …

Soma zaidi »

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI

Na Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam. Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania ili kujiongezea kipato na utaalam kwani sehemu kubwa ya bomba linapita nchini Tanzania. Waziri Makamba ameyasema …

Soma zaidi »

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA UONGOZI WA EQUINOR NA SHELL

Na Dorina G. Makaya na Janeth Mesomapya – Dar-es-Salaam Waziri wa Nishati January Yusuf Makamba, leo tarehe 24 Septemba, 2021 amekutana na uongozi wa kampuni za Equinor na Shell kwa lengo la kufahamiana na kufanya mazungumzo mafupi kuhusu kuanza kwa majadiliano ya mkataba wa nchi hodhi (HGA) wa Mradi wa …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Septemba, 2021 amehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa katika uongozi wake, Tanzania itaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na mataifa na wadau wengine duniani kutatua changamoto zinazoukabili ulimwengu hivi sasa. …

Soma zaidi »