Recent Posts

BILLION 7.4 ZATUMIKA KUING’ARISHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA

Na Geofrey A. Kazaula, Katavi. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), kupitia mradi wake wa Uimarishaji wa Halmashauri za Miji – Urban Local Goverement Strengthening Program (ULGSP), umetumia shilingi billioni 7.4 kutekeleza mradi wa ujenzi wa   barabara kwa kiwango cha lami  katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda  zenye …

Soma zaidi »

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA SHULE ZA UMMA

Na Faraja Mpina – WUUM Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ulio chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) umetoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu 601 wa shule za umma za msingi na sekondari za Tanzania bara na visiwani. Mafunzo hayo yametolewa katika makundi …

Soma zaidi »

HAKIKISHENI BIDHAA BANDIA HAZIINGI NCHINI -WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Hata hivyo, Waziri Mkuu amewataka wamiliki wa viwanda wazalishe bidhaa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAKANDARASI WANAWAKE NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekipongeza Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania kwa kuweza kuunda umoja huo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wadogo wadogo wanaomalizi vyuo hivi sasa.  Amesema ni vyema kuwa na mkakati wa kuweza kuendesha Jumuiya hiyo vizuri ili wengi waweze …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA HOSPITALI YA UHURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino, Dodoma na kuagiza huduma zianze kutolewa ifikapo Desemba 20 mwaka huu. Amekagua hospitali hiyo (Jumapili, Desemba 6, 2020) na amesema vifaa vyote zikiwemo samani, vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo kwenye hospitali hiyo vipelekwe na …

Soma zaidi »