Recent Posts

NAIBU WAZIRI BYABATO AITAKA TANESCO ISHIRIKIANE NA MBUNIFU WA MTAMBO WA KUFUA UMEME KWA KUTUMIA SUMAKU KUTENGENEZA MTAMBO MWINGINE MPYA

Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato akisoma kipimo cha umeme kinachotumika kupima kiwango cha umeme kinachozalishwa kwenye mtambo wa kufua umeme kinachoitwa (Clamp digital meter) kipimo hicho kimethibitisha kuwa, umeme unaozalishwa na mtambo uliobuniwa na Mbunifu Rojers Msuya unakidhi viwango vyote vya TANESCO. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, …

Soma zaidi »

MAUAJI YA MKULIMA YAWE MWISHO – WAZIRI NDAKI

Na. Edward Kondela Serikali imewataka wakulima na wafugaji wanaofanya shughuli zao kwenye maeneo wasiyoruhusiwa, kuondoka mara moja na kuwataka wafuate sheria, taratibu na kanuni za nchi ambapo wakulima na wafugaji wanatakiwa kuwa kwenye maeneo waliyotengewa kisheria bila kuingiliana. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amebainisha hayo (24.01.2021) akiwa …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA: SEKTA ZA WIZARA YA HABARI NI MIHIMILI MUHIMU NCHINI

Na Shamimu Nyaki – WHUSM  Sekta za Wizara ya Habari ni sekta muhimu  zenye  mchango mkubwa katika kuchangia uchumi wa nchi na kuleta  maendeleo.  Hayo yamesemwa  leo Jijini Dodoma na Waziri  wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa wakati akiwasilisha Muundo pamoja na Majukumu ya Wizara hiyo …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SILINDE AAGIZA TSC IPEWE OFISI ZENYE HADHI

Na Veronica Simba – TSC Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amewaagiza Wakurugenzi wa Wilaya kote nchini, kuhakikisha wanawapatia ofisi zenye hadhi, watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) katika maeneo yao. Ametoa maagizo hayo leo, Januari 25, 2021 mjini …

Soma zaidi »

AMANI NA USALAMA NI MUHIMU KWA KUVUTIA WAWEKEZAJI – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mwongozo wa uwekezaji mkoa wa Iringa na amesema kwamba Serikali itaendelea kudumisha amani na utulivu ambao ni muhimu kwa wawekezaji na wananchi, hivyo ametoa wito kwa wawekezaji wasisite wa ndani na nje kuwekeza nchini. Amesema uwekezaji ni tegemeo la Taifa katika kukuza uchumi wake na kuongeza ajira, …

Soma zaidi »