Recent Posts

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …

Soma zaidi »

MKOA WA RUVUMA WASHIKA NAFASI NZURI KITAIFA UKUSANYAJI WA MAPATO

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza Wakurugenzi watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kusimamia ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ambapo Halmashauri zote nane zimevuka  asilimia 80 na kufanya Mkoa kuwa katika nafasi nzuri Kitaifa. Mndeme pia ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa wa …

Soma zaidi »

MWAKALINGA AKAGUA MIFUMO YA TEHAMA KUFUATILIA UTENDAJI WA MIZANI

Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko. Mhandisi Kashinde Musa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo Januari 19,2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo …

Soma zaidi »