Taarifa ChanyA+
June, 2019
-
18 June
SERIKALI YAOKOA MABILIONI UENDESHAJI MASHAURI YA MADAI
Serikali imesema mabadiliko kwenye sekta ya sheria nchini hususani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yameanza kuleta tija baada ya kuongeza ufanisi na kuokoa fedha ambazo hapo awali zilikuwa zikitumika kuwalipa mawakili binafsi. Akijibu swali la Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kuebenea ambae alitaka kujua kiasi cha fedha ambacho serikali imeokoa tangu …
Soma zaidi » -
17 June
NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 33
Benki ya NMB Plc. (NMB), kulipa gawio la Shilingi 66 kwa kila Hisa. Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha kiasi kilichopendekezwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM), uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Ikiwa ni matokeo ya utendaji bora na uimara wa nafasi ya mitaji, malipo ya …
Soma zaidi » -
3 June
UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28
Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri. Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi …
Soma zaidi »
May, 2019
-
25 May
LIVE: RAIS WA AFRIKA YA KUSINI AKIAPISHWA
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, MHeshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli yupo kuhudhuria kiapo hicho. Rais wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete naye amehudhuria.
Soma zaidi » -
13 May
DKT. KALEMANI AAGIZA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME GEITA UANZE MWEZI WA SITA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amemwagiza mkandarasi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wilayani Geita, kuanza ujenzi wa kituo hicho mwezi wa Sita mwaka huu na kumaliza kazi hiyo mwezi wa Tano mwakani ili kuboresha hali ya umeme mkoani Geita. Dkt Kalemani aliyasema hayo wakati akiwa kwenye ziara …
Soma zaidi » -
10 May
WAZIRI BITEKO AFUNGUA SOKO KUU LA MADINI MKOANI MWANZA
Waziri wa Madini, Doto Biteko amefanya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza na kutumia fursa hiyo kuwahimiza wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kutumia soko hilo kuuzia madini yao na kuachana na tabia ya utoroshaji wa madini. Uzinduzi wa soko hilo unganishi Kanda ya Ziwa umefanyika Mei 08, 2019 katika …
Soma zaidi »