Taarifa ChanyA+
April, 2019
-
8 April
LIVE:BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA; MKUTANO WA 15, KIKAO CHA 5
MAJADILIANO JUU YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 MASWALI NA MAJIBU ASUBUHI YA LEO
Soma zaidi » -
4 April
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZINDUA VITUO VYA AFYA 352 NCHINI
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi » -
3 April
LIVE: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MTWARA -NEWALA – MASASI KM 210.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Mtwara ,Newala -Masasi Km 210 Sehemu ya Mtwara -Mnivata Km 50. Sherehe inafanyika Naliendele Mkoani Mtwara Aprili 3, 2019 Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi » -
2 April
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE MTWARA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Mtwara . Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »
March, 2019
-
17 March
WAGONJWA WATANO WAPANDIKIZWA FIGO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo jumla ya Wagonjwa saba tangu ilipoanza kufanya huduma hiyo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka shirika la afya la Tokushukai lilopo nchi ya Japan. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati alipofanya ziara ya kukagua hali …
Soma zaidi » -
16 March
KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MRADI WA UMEME WA MAKAMBAKO – SONGEA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha Mikoa ya Ruvuma na Njombe kupata umeme wa uhakika kutoka Gridi ya Taifa. Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo wilayani Songea, Mkoa …
Soma zaidi » -
16 March
MIRADI YA KIMKAKATI 37 INATEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 29 NCHINI
Miradi ya Kimkakati ya kuongeza mapato katika Halmashauri: Hatua iliyofikiwa ni utekelezaji wa miradi ya kimkakati 37 ya kuongeza mapato ya halmashauri na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali ikijumuisha Soko la kisasa – manispaa ya Morogoro, soko la kisasa – halmashauri ya mji Kibaha, Pwani, ghala …
Soma zaidi » -
16 March
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RADA UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …
Soma zaidi »