Maktaba Kiungo: Bank ya Dunia

CREDIT SUISSE BANK: TUTAENDELEA KUIKOPESHA TANZANIA KWA KUWA INAKOPESHEKA NA MAHILI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

Benki ya Credit Suisse ya Uingereza imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuikopesha Tanzania ili kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo baada kuridhishwa na uaminifu wa urejeshaji mikopo kwa wakati pamoja na ubora wa viwango vya miradi inayotekelezwa nchini. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Washington D.C nchini Marekani na Mkurugenzi wa Masoko …

Soma zaidi »

BENKI YA DUNIA KUTOA MKOPO NA MSAADA WA SHILINGI TRILIONI 4 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

Benki ya Dunia imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu na msaada wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.7 sawa na takriban shilingi trilioni 4 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020. Ahadi hiyo imetolewa mjini Washington …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 26, Machi 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Ndugu Theobald Maingu Sabi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi huyo amefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo …

Soma zaidi »

BARABARA MPYA ZA LAMI ZA MITAA YA MIKOCHENI NA MSASANI ZAONGEZA KASI YA KUKUZA UCHUMI JIJINI DSM.

• Zimerahisisha usafiri katikati ya mitaa hiyo • Za pinguza msongamano kwa kiasi kikubwa barabara ya Mwai Kibaki • Sasa mitaa ya Sayansi Kijitonyama, Msasani kwa Mwalimu, Mikocheni, Msasani na Masaki imeunganishwa kwa njia za lami zaidi ya moja. • Tatizo la mafuriko na mitaro isiyopitisha maji kipindi cha masika, …

Soma zaidi »