Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (MB) leo amefungua kambi maalum ya kupima na kutengeneza miguu bandia zaidi ya 600 kwa watu wenye uhitaji ambao walijiandikisha. Waziri Ummy amesema Kambi hiyo ya utoaji miguu bandia bure inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya …
Soma zaidi »JENGO LA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO KUFUNGULIWA RASMI
WAKAZI ZAIDI YA 1000 WA KANDA YA ZIWA WANUFAIKA NA HUDUMA YA UPASUAJI BURE
Zaidi ya wakazi 1000 wa Kanda ya Ziwa wamenufaika na matibabu bure hasa kwa upande wa upasuaji unaofanywa na Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania. Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania, Dkt. Catherine Mung’ong’o wakati wa siku ya kuhitimisha zoezi la upasuaji lililofanyika kwa siku …
Soma zaidi »ZAIDI YA WATOTO 100 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO MLOGANZILA
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya zoezi la uchunguzi wa macho bure kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya saratani ya jicho kwa watoto (Retinoblastoma). Katika zoezi hilo ambalo limefanyika Mei 16 hadi Mei 17, 2019 zaidi ya watoto 100 wamehudumiwa ambapo baadhi yao …
Soma zaidi »KONGAMANO LA KWANZA LA KISAYANSI KUHUSU KUTAFSIRI TAFITI KWA VITENDO LA FUNGULIWA DAR.
Wataalam wa afya nchini wametakiwa kujikita zaidi katika kufanya utafiti na uvumbuzi ili kuleta matokeo chanya katika utoaji wa huduma za afya. Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Charles Majinge wakati akifungua kongamano la kwanza la kisayansi kuhusu kutafsiri …
Soma zaidi »MUHIMBILI YAPOKEA VIFAA TIBA VYA KUTIBU SARATANI YA MACHO
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashini za kutoa tiba ya saratani macho kwa watoto bila kuyaondoa zenye thamani ya shilingi milioni 170 kutoka Rotary Club Oyster bay jijini Dar es Salaam. Msaada huu utawanufaisha watoto wengi wanaofikishwa hapa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa huduma ya saratani ya …
Soma zaidi »MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO, Mei 15, 2019
MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA UYUI, KUMALIZIKA MWEZI JUNI
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Uyui unatarajia kukamilika mwishoni mwa Mwezi ujao tayari kwa ajili ya kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya wakati akielezea maendeleo ya ujenzi wa majengo saba ya Hospitali hiyo. Alisema kwa upande wa jengo …
Soma zaidi »TUONGEZE JUHUDI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA – RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE
Rais Mstaafu, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi yake kama mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End malaria Council) alialikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha 20 cha mawaziri wa afya wa shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika magharibi – ECOWAS. Kikao hicho kiliendeshwa chini ya chombo maalum …
Soma zaidi »