Maktaba Kiungo: KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

RAIS MAGUFULI ANGARA AFRIKA KWENYE UCHUMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kung’ara kimataifa katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi Jijini Dodoma, wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali …

Soma zaidi »

MNA WAJIBU WA KUZUNGUMZIA MAZURI YA TANZANIA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli amewahakikishia Watanzania wote kuwa Taifa linakwenda katika mwelekeo mzuri hasa baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi na huduma za kijamii kama vile afya, elimu, maji, nishati na miundombinu ya usafiri. Mhe. Rais Magufuli amesema hay alipokutana na wananchi katika …

Soma zaidi »

LIVE:MKUTANO WA 20 WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA EAC. AICC – ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.(The 20th Ordinary Summit of The EAC Heads of State) Katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Arusha – AICC Februari 01,2019

Soma zaidi »

BARAZA LA MAWAZIRI LA RIDHIA KUFUTA DENI LA Sh. BILIONI 22.9 KWA TANESCO KWENYE UMEME ULIOUZWA ZECO

Baraza la Mawaziri limeridhia utozwaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) na kufuta malimbikizo ya deni la kodi ya VAT lililofikia shilingi Bilioni 22.9 kwa TANESCO kwenye umeme …

Soma zaidi »