Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo chini ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zinatakiwa kujitazama na kushauriana kuhusu mwenendo wao wa uchumi badala ya kuyaachia Mashirika ya Kimataifa pekee. Rai hiyo imetolewa Jijini Dodoma wakati wa …
Soma zaidi »SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua Jengo la kisasa lililojengwa kwa kutumia teknologia ya moladi Wilayani Kondoa Akiwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa alisema miundo mbinu bora na ya kisasa katika muhimili wa Mahakama inawezesha mazingira …
Soma zaidi »SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA
Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa kipengele cha Hati inayoridhisha kwenye Ukaguzi wa Hesabu kwa kuwa ni matakwa ya Viwango vya kimataifa vya uandaaji wa Taarifa za Fedha. Hayo yamesemwa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. …
Soma zaidi »SPIKA NDUGAI AWAKABIDHI SPIKA WASTAAFU MAJOHO YAO BUNGENI JIJINI DODOMA
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YATAKIWA KUJIUNGA NA TIBA MTANDAO
Hospitali ya Benjamin Mkapa imetakiwa kujiunga na tiba mtandao ili kuweza kutoa tiba kwa wagonjwa kwa haraka na kwa ufanisi ili kuwapunguzia wagonjwa muda wa kusubiri majibu hususani ya mionzi Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipoitembelea hospitali hiyo …
Soma zaidi »KATIBU MKUU TIXON AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI UJENZI WA MAJENGO YA OFISI ZA WIZARA AWAMU YA PILI ENEO LA MTUMBA
SERIKALI KUIPATIA BILIONI MBILI KCMC KWA AJILI YA JENGO LA MIONZI
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuipatia kiasi cha shilingi bilioni mbili hospitali ya rufaa ya kanda KCMC ili kuweza kutoa huduma za tiba za mionzi hospitalini hapo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy …
Soma zaidi »WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WIKI MOJA KUREKEBISHWA KWA DOSARI KATIKA MACHINJIO YA MSALATO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene hii amegoma kufungua machinjio ya Msalato jijini Dodoma kwa kutokidhi vigezo vya ubora vinavyoridhisha ikiwemo ukarabati wa kiwango cha chini na kutoa muda wa wiki ya moja kurekebisha dosari zilizobainika. Ametoa uamuzi huo wakati akitembelea jengo …
Soma zaidi »SERIKALI YAZIDI KUBANA MIANYA YA WIZI WA MAPATO YA NDANI
Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo. Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NDITIYE AELEKEZA SHIRIKA LA POSTA KUFANYA KAZI KIDIJITALI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kufanya kazi kidijitali kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhandisi …
Soma zaidi »