Waziri wa Nchini Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Angellah Kairuki amebainisha mkakati maalum wa serikali kupitia utekelezaji wa BLUE PRINT wenye lengo la kuondoa vikwazo na changamoto zinazozuia ukuaji wa uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara nchini. Mkakati huo unapendekeza,pamoja na mambo mengine,marekebisho ya sheria mbalimbali,kuondoa urasimu na uratibu mzuri wa …
Soma zaidi »ALMASI YENYE THAMANI YA BILIONI 3.2 YAIPAISHA SEKTA YA MADINI TANZANIA
Tanzania imetajwa kuweka historia katika tasnia ya madini baada ya Almasi yenye Karati 512.15 kupatikana hivi karibuni katika eneo la Maganzo Mkoani Shinyanga na kuuzwa kwa jumla ya shilingi Bilioni 3.2. Akizungumza katika mahojiano maalum kuhusiana na madini hayo,Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo amesema kuwa kutokana na kupatikana …
Soma zaidi »WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI
JWTZ WATUMIA NDEGE YA ATCL KUSAFIRISHA WAPIGANAJI KUISHIRIKI ULINZI WA AMANI DARFUR
Maafisa na Askari wa jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanaoshiriki Ulinzi wa Amani katika Jimbo la Darfur nchini Sudan kwa Mara ya kwanza kwa kipindi cha Miaka 10 ya Ulinzi wa Amani Jimboni humo wametumia Ndege ya Shirika la Ndege ya Serikali ya ATCL ikiwa ni kuunga …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA W.H.O NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU ZANZIBAR
SERIKALI YAWALIPA WANANCHI FIDIA BONDE LA MTO RUHILA
Wizara ya Maji imelipa jumla ya Shilingi 1,913,832,491 ikiwa ni fidia kwa wananchi waliokuwa na makazi kando kando ya Bonde la Mto Ruhila ambalo ni chanzo cha maji cha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA). Wananchi hao wamekuwa wakifuatilia malipo yao kwa miaka 15 iliyopita tangu mwaka …
Soma zaidi »SERIKALI KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU UN
Katika kutekeleza ajenda za Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), Serikali imejipanga kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari (VNR) katika Jukwaa la Siasa la Umoja wa Mataifa (HLPF) mwezi Julai mwaka huu mjini Newyork nchini Marekani. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Bw. Adolf Ndunguru wakati …
Soma zaidi »TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA WATU WANAOAMINI UMILIKI WA ARDHI NA MAKAZI UKO SALAMA
Tanzania imeshika nafasi ya nne kati ya nchi tisa za Kusini na Mashariki mwa Afrika zilizofanyiwa utafiti kwa kuwa na asilimia 64 ya watu wanaoamini kuwa hali ya umiliki wa ardhi na makazi ni salama. Hayo yalibainika wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Msingi kuhusu Haki …
Soma zaidi »TUONGEZE JUHUDI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA – RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE
Rais Mstaafu, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi yake kama mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End malaria Council) alialikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha 20 cha mawaziri wa afya wa shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika magharibi – ECOWAS. Kikao hicho kiliendeshwa chini ya chombo maalum …
Soma zaidi »JUMUIA ZA KIMATAIFA ZAHAKIKISHIWA KUIMARISHWA KWA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI,KUKUZA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU
Waziri wa Mambo ya Nje Pro. Palamagamba Kabudi ameihakikishia jumuia za kimataifa kuwa Tanzania itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ambao umejikita katika misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kukuza demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu na muktadha wa nchini. Pro. Kabudi ameyasema hayo jijini Dar …
Soma zaidi »