Maktaba Kiungo: Wananchi

MWENYEZI MUNGU AMLINDE NA AMJAALIE AFYA NJEMA RAIS MAGUFULI – MZEE MSEKWA

“Mwenyeji Mungu amjaalie Afya njema..ili aendelee kuijenga nchi yetu.., kuiongoza nchi yetu kwa miaka kumi; Isingekuwa juhudi zako Nyerere.., Taifa letu lingekuwa wapi.. Tutataka kumuimbia Rais Magufuli, Isingekuwa juhudi za Magufuli.. haya yangetoka wapi..” – Mzee Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 05/09/2018 Ikulu …

Soma zaidi »

Prof. Kabudi: RAIS MAGUFULI ATAKAMILISHA MIRADI YOTE ALIYOTAMANI KUIFANYA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE!

“Na kazi ya Awamu hii ya tano, ni kukamilisha mambo yote ambayo mwalimu alitamani yafanyike lakini alihujumiwa yasikamilike. Yepi hayo? Moja; Ni kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma…” “Nendeni msome hansadi za Registrative council mwaka 1959.. Waingereza wanazungumzia ..wakoloni wale..watawala wale.. kuhamishia makao kwenda dodoma. Shida ilikuwa ni fedha! Nendeni msome …

Soma zaidi »

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi. Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa …

Soma zaidi »