Maktaba Kiungo: Wananchi

ENG. MFUGALE NI MFANO WA KUIGWA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA TANZANIA!

Kufuatia uamuzi wa Mhe. Rais Magufuli kuwa Flyover ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela iitwe Mfugale Flyover, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Prof. Ninatubu Lema amesoma wasifu wa Mhandisi Patrick Aron Lipilima Mfugale na kueleza kuwa ameitumikia nchi akiwa Mhandisi kwa miaka 41 ambapo katika …

Soma zaidi »

UJANJA UJANJA, UBADHILIFU, RUSHWA & UFUSADI; HAVINA NAFASI AWAMU HII – MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

• Awaasa Watanzania kubadilika na kuwa waadilifu, wachapa kazi na Wazalendo. • Wataka waunge mkono juhudi za Rais na serikali katika kujenga na kukuza uchumi wa Taifa. maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA Bofya link ifuatayo kuona video https://vimeo.com/user63874414/review/291051363/6f08a386b4

Soma zaidi »

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »

SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE

• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote. BOFYA • Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, …

Soma zaidi »