BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO (MAB) KWA TMDA, YATEMBELEA OFISI YA TMDA KANDA YA ZIWA
Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(MAB) imefanya ziara maalum na kujionea mambo mbalimbali ya utendaji kazi katika ofisi ya Kanda ya Ziwa ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA). Katika ziara hiyo, Bodi hiyo imeweza kujionea utendaji kazi za udhibiti wa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA AFYA AWATAKA WAZAZI KUONGEA NA WATOTO WAO
Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, …
Soma zaidi »TUSIFANYE SIASA NA AFYA ZA WANANCHI – SERUKAMBA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba amesema suala la Afya za Watanzania sio suala la kufanyia siasa. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mpango wa vifurushi vipya vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI DKT. FAUSTINE NDUGULILE ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII RUNGEMBA IRINGA
DKT. NDUGULILE AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA LISHE NCHINI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuweke mkazo kwa kutoa elimu ya lishe nchini hasa katika shule za misingi na Sekondari nchini ili kuondokana na tatizo la udumavu na utapiamlo Ameyasema hayo mkoani Iringa alipotembela Shule ya …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE ATAKA TAARIFA UTOAJI WA DAWA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amemuagiza Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Atupele Mwandiga kuhakikisha anapata taarifa ya utoaji wa dawa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa. Agizo hilo limekuja mara baada ya ziara ya yake …
Soma zaidi »WIZARA YA AFYA YATOA PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII MKOANI KATAVI
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametoa pikipiki 15 kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Kata za Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi na kusisitiza matumizi mazuri na yaliyokusudiwa ya pikipiki hizo. Akizungumza katika halfa ya ugawaji pikipiki hizo Waziri Ummy Mwalimu amewataka Maafisa …
Soma zaidi »MADAKTARI KUTOKA NCHINI CHINA WANAOFANYA KAZI NCHINI WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA DAWA ZENYE THAMANI YA SH. 15 MILIONI KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kwa mwaka 2019 kwa ajili ya kulipa gharama za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotoka katika familia maskini na wasiokuwa na uwezo wa kulipia gharama hizo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga wakati akizungumza …
Soma zaidi »NHIF YATAJWA KUCHANGIAMAGEUZI SEKTA YA AFYA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetajwa kuwezesha mageuzi yenye tija katika sekta ya afya katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano Akizungumza waandishi wa habari leo, Desemba 12, 2019 Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Bernard …
Soma zaidi »