TAKUKURU; HANSPOPE WA SIMBA, ANAYEFAHAMU ALIPO ATUPE TAARIFA HARAKA

  • Waahidi donge nono kwa yeyote atakayetoa taarifa za alipo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba Zacharia Hanspope
  • Pia, taarifa zinahitajika kwa yeyote anayefahamu alipo Franklin Lauo aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo ambaye alitumia rushwa na kupata tenda ya ujenzi wa Kiwanja cha Mpira wa Miguu cha klabu hiyo huku akijua hana vigezo (hajasajiliwa katika bodi ya Wakandarasi nchini.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.