Maktaba ya Kila Siku: September 14, 2018

NEC: Imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini, ikieleza kuwa uchaguzi huo utafanyika Oktoba 13, 2018 Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage amesema hapo jana kuwa fomu za uteuzi wa wagombea katika uchaguzi huo zitatolewa kati ya Septemba …

Soma zaidi »

IRINGA: “Unganishiwa umeme kwa bei nafuu ya mradi wa REA ya shilingi elfu 27 tu” Mhe.Kalemani

YALIYOJIRI KWENYE KIPINDI CHA TUNATEKELEZA KILICHOMUHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, DKT. MEDARD KALEMANI 13/09/2018. #Mradi wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme uliopo Makambako, umekamilika   #Utekelezaji wa mradi huu ulianza Septemba 2016, pia ni miongoni mwa miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali kupitia Ilani ya Chama cha Mapinduzi #Sehemu ya kwanza …

Soma zaidi »