Maktaba ya Kila Siku: September 19, 2018

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI: Jukumu la Kiongozi ni kuwatumikia wananchi na si kuweka mbele masĺahi binafsi.

KATIBU MKUU KIONGOZI, MHE. MHANDISI BALOZI JOHN KIJAZI katika kikao na Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu, amewataka watendaji hao muhimu wa serikali kuzingatia na kulinda maslahi ya wananchi na si vinginevyo. Balozi Kijazi alisema; “Kauli mbiu ya Kikao Kazi hiki ni Uongozi makini na wapamoja unaozingatia uzalendo, uwajibikaji,utawala Bora …

Soma zaidi »

#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!

• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR. • Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi. • Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu. hakika maendeleo yanaonekana… maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye …

Soma zaidi »