IRINGA MPYA+
Matokeo ChanyA+
October 8, 2018
Tanzania MpyA+
1,628 Imeonekana
- Mkakati wenye Matokeo chanyA+ 110% wa mkoa wa Iringa.
- Mhe. Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa huo, amefanya ziara katika tarafa zote 15
- Amefanya mikutano mikubwa 20 na mikutano midogo 65
- Mhe. Hapi amefanikiwa kutatua kero mbalimbali zipatazo 849 za wananchi wa mkoa huo
- RC Hapi katika ziara hiyo ya Iringa MpyA+ ametembelea miradi ya maendeleo yenye thamani ya Tsh. Bilioni 78.1
- Ameweza kusafiri umbali wa km 3,345 kutoka tarafa hadi tarafa.
- Tarehe 29 Septemba, 2018 alihitimisha awamu ya kwanza ya ziara hiyo ikiwa na mafanikio makubwa.
Sikiliza moja ya kero zilizotatuliwa katika ziara ya awamu ya kwanza ya IRINGA MPYA+
https://soundcloud.com/user-105000585/utatuzi-wa-kero-iringa
Ad
Ad