Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao cha kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma kutoka kwa wataalamu mbalimbali wanaohusika na ujenzi huo. Wakwanza kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi na wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Dkt. Moses Kusiluka

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU

RAIS MAGUFULI AKISALIMIANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
RAIS MAGUFULI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax wapili kutoka kushoto mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe wapili kutoka kulia akifatiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara hiyo Bw. Shio. Kushoto ni Msaidizi wa Rais Maswala ya Diplomasia Balozi Zuhura Bundala
Screen Shot 2018-10-08 at 6.10.17 PM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu Ikulu jijini Dar es salaam.
RAIS MAGUFULI AKIWA NA BALOZI WA KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu pamoja na Naibu Balozi wa Kenya Mhe. Boniface Muhia Ikulu jijini Dar es Salaam
RAIS MAGUFULI AKIPOKEA HUNDI TOKA KWA BALOZI WA KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 125 kutoka kwa Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu Kwa ajili ya Rambirambi ya nchi hiyo kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere huko Mwanza mwezi uliopita. PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

Na Haya Ni Maboresho Makubwa katika Sekta ya Afya Nchini Tanzania

Nchi yetu inajivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kwenye eneo hili ambapo pamoja na maboresho na …

Oni moja

  1. Your information is always useful

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *