TAARIFA MUHIMU

Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu

• Inahusu Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC kwamba Rais Magufuli ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 hdi Agosti 2019.

• Pia; Inahusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kukutana na Balozi wa Kenya nchini Dkt. Dan Kazungu ambaye aliwasilisha ujumbe aliotumwa na Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ambapo ametoa salamu Rasmi za pole kwa Rais Magufuli na kutoa mchango wa rambirambi wa Tsh. Milioni 125.

kwa ufafanuzi na maagizo ya Mhe. Rais Magufuli juu, soma Taarifa hii Rasmi Kutoka Kurugenzi hiyo;

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.