WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA BETRI CHAKAVU CHA HUATAN

6-01
Meneja wa kiwanda cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akisoma taarifa ya kiwanda hicho kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki.
3-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki pamoja na timu aliyoambatana nayo katika ziara ya kukagua kaiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN kilichopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.
4-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akifuatilia taarifa ya kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha Huatan kutoka kwa Meneja wa kiwanda hicho Bw. Anthony Warioba (hayupo pichani).
7-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Abdallah Njwayo pamoja na Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. John Mnali wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN.
2 -01
Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mazingira ya kiwanda hicho alipotembelea kiwandani hapo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani
5 -01
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Abdallah Njwayo akitoa taarifa ya uwekezaji wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki wakati wa ziara yake kiwandani hapo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KAIRUKI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *