Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washindi wa mashindano mbalimbali ya mahoteli katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.

DKT. SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

WAZIRI WA HABARI
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mohmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
BAADHI YA VIONGOZI WA WIZARA YA HABARI
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
WAZIRI WA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
MATAGA - 56-01
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akifanya mahojiano na Mwandishi wa Chanal Ten Albert Kilalah mara baada ya kuwasili katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.kulia ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mohmoud Thabit Kombo.
RAIS SHEIN AKIZUNGUMZA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya ufungaji wa Maonesho ya Kwanza ya Utalii yaliochukua muda wa siku Tatu hafla iliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
BAADHI
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
PICHA YA PAMOJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washindi wa mashindano mbalimbali ya mahoteli katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Muimbaji kutoka kikundi cha Taarab(SITI AND THE BAND)Amina Omar
Muimbaji kutoka kikundi cha Taarab(SITI AND THE BAND)Amina Omar(siti Amina)akitumbuiza katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *