TUNAYO NGUVU KAZI YA TAIFA YA KUTOSHA KUJENGA UCHUMI IMARA NA MADHUBUTI KWA NCHI YETU

  • Amtia nguvu Rais Magufuli aendelee kufufua uchumi wa nchi yetu na asikate tamaa.
  • Asisitiza kuwa serikali ya awamu hii inaweza kufanya bajeti ya nchi yetu itokane na makusanyo ya mapato.
  • Ashauri uwekezaji uendelee kuhusishe wazawa.
  • Asisitiza serikali iendelee kuwa imara na kutumia nguvu kazi (vijana) wajenge uchumi madhubuti wa nchi yetu.

Dkt. Maua pia alisema,

“Tumezungukwa na maziwa matatu; tunayatumiaje maziwa kulisha nchi jirani. Tunayo nguvu kazi ya kutosha ipasavyo; ipo ya vijana. Tumewatumiaje vijana hawa? Tukawaongoza wakafanya mambo ya maendeleo; (watendaji wa Serikali yote) wakaze kamba wala wasisikilize mambo mengine huku nyuma. Sisi tunataka tujitosheleze kwa chakula, vijana watumike vizuri, wafufue uchumi wa nchi hii wamsaidie Mheshimiwa (Rais Magufuli) Tutafika.. Baba tutafika.” – Mama Maua Daftari

Ad

kwani #SisiNiTanzaniaMpyA+ inayohitaji kupata Matokeo ChanyA+ 110% katika kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote.

Tazama video hii;

Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *